Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.08.2018:
Pata habari kumhusu Zidane, Pogba, Messi, Godin, Rose, Herrera, Cattermole, Odegaard, Grujic
Kocha wa zamani wa Real Madrid
Zinedine Zidane anataka kurudi katika kazi yake ya ukufunzi na
anajiandaa kumrithi Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United
msimu ujao. (L'Equipe - in French)
Kocha wa Barcelona Ariedo
Braida anasema klabu yake haiwezi kutoa ofa kwa Paul Pogba wa Manchester
United msimu huu, lakini amemtaja mchezaji huyo Mfaransa mwenye miaka
25 kama mchezaji mzuri na atakuwa anamfuatilia Mfaransa huyo. (Mirror)Klabu ya Bundesliga ya Schalke wana mpango wa kutoa mikataba ya kudumu na hawana nia ya kuwasaini beki wa Tottenham raia wa England Danny Rose, 28, au kiungo wa kati wa England Ruben Loftus-Cheek, 22, kwa mkopo. (Sky Sports)
Meneja mpya wa Chelsea Maurizio Sarri amelegeza sheria kali kuhusu lishe na ratiba za mechi zilizowekwa na mtangulizi wake Antonio Conte. (Telegraph)
Sarri yuko radhi kiungo wa kati wa Chelsea mwenye miaka 28 Danny Drinkwater auzwe mwezi huu. (Star)
Mlinzi wa Leicester mwenye miaka 25 Harry Maguire yuko karibu kukubaliana na mkataba wa pauni 75,000 kwa wiki kwenye klabu huyo. (Telegraph)
Meneja wa Arsenal Unai Emery atalazimika kufuata matumizi finyu ya fedha kwenye klabu msimu ujao kwa kununua wachezaji. (Telegraph)
Uwanja mpya wa Tottenham hatakuwa tayari ifikapo Novemba na klabu hiyo itakuwa ikichezea mechi zake zote za nyumbani huko Wembley. (Times - subscription required)
Kiungo wa kati wa Manchester United Ander Herrera, 29, anasema anataka kujitokzea kuicheza klabu hiyo ya Old Trafford baada ya kukamilika kwa mkataba wake msimu ujao. (Mirror)
Aliyekuwa meneja wa Bordeaux na Sunderland Gus Poyet yuko kwenye mazungumzo na Black Cats kuhusu kumsaini kiungo wa kati mwenye miaka 30 raia wa England Lee Cattermole on loan. (Guardian)
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho angependa mlinzi raia wa Argentina Marcos Rojo na mkabaji kamili Matteo Darmian, 28 kusalia kwenye klabu hadi Januari. (ESPN)
Saint-Etienne wamefikia makubaliano ya pauni milioni 4.4 na Marseille kumsaini aliyekuwa mchezaji wa Newcastle raia wa Ufaransa Remy Cabella, 28. (L'Equipe - in French).
Paris St-Germain wanaandaa pauni milioni 100 kwa ofa ya mchezaji wa Tottenham mwenye miaka 26 raia wa Denmark Christian Eriksen. (Express)
Schalke wana nia ya kumasaini mchezaji mwenye miaka 22 raia wa England Reuben Loftus-Cheek kwa mkopo lakini Chelsea haunda wasiruhusu kuondoka kwake. (Telegraph)
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho alichanganyikiwa kufuatia madai ya Paul Pogba ya kuwepo uhusiano mbaya kati yao siku ya Ijumaa. (Telegraph)
Liverpool watasikiliza ofa kwa mchezaji wa maiaka 32 mlinzi raia wa Estonia Ragnar Klavan. (Liverpool Echo)
Kiungo wa kati wa Sunderland mwenye miaka 30 Lee
Cattermole huenda akahamia Bordeaux, ambapo aliyekuwa meneja wa zamani
wa Black Cats sasa ndiye meneja. (Teamtalk)
Wale wanaolengwa kuchukua nafasi ya mkurugenzi mpya wa Manchester United ni pamoja na kipa Edwin van der Sar, mkurugenzi wa Juventus Fabio Paratici na Monchi, mkurugenzi wa zamaniawa Sevilla na sasa Roma. (Independent)
Mshambuliaji Wilfried Zaha anasema bado anazungumza na Crystal Palace kuhusu kuongezwa mkataba wake huko Selhurst Park. (Mail)
Wale wanaolengwa kuchukua nafasi ya mkurugenzi mpya wa Manchester United ni pamoja na kipa Edwin van der Sar, mkurugenzi wa Juventus Fabio Paratici na Monchi, mkurugenzi wa zamaniawa Sevilla na sasa Roma. (Independent)
Mshambuliaji Wilfried Zaha anasema bado anazungumza na Crystal Palace kuhusu kuongezwa mkataba wake huko Selhurst Park. (Mail)
TUKUTANE WAKATI MWINGINE.
Kuhusu bloger;
Facebook; Van Pasiens
Instagram; Pasien9
Comments
Post a Comment