LEO KATIKA UJASILIAMARI. FUNGUKA KIJANA.
MWAJIRIWA NA KIJANA UNAEJITAMBUA JIFUNZE HAPA
Vijana wengi wanapenda kujiajiri lakini linapofika swala la kuchagua biashara ya kufanya inakuwa kizungumkuti kwani Vijana wengi watakuambia mtaji hawana.
Lakini sio wote ambao hawana mtaji wengine mtaji wanao lakini hawajui BIASHARA sahihi kwao kuweza kuifanya. Wengine wanatamani ufugaji, wengine wanatamani kufungua duka, kuna wengine wanatamani kufungua genge , kuna wengine wamefkiria kuuza nguo, wengine wanafkiria kuuza chips na kuna wengine wanafikiria kubeti. Hivi vyote biashara za kutatua changamoto ndogondogo sio biashara za kukupatia uhuru wa Kipato na usipozinduka utaishia kulipa hela ya pango ya fremu tu.
Cha kustaajabisha hata wale walioajiriwa wapo njia panda hawajui biashara sahihi ya kuifanya ili waingize pesa pasipo kutegemea Ajira, lakini tatzo kubwa linakuwa kwenye usmamizi wa biashara.
Hapo waajiriwa wengi ndipo wanaposhindwa kukua kibiashara. Na kuamua kusubiria mshahara ili wautie kwenye mfuko uliotoboka. Umri unakwenda na mafanikio unayasikia tu.
Wengi wanalalamika kuwa BIASHARA ngumu lakini ukweli ni kwamba wewe ndiye mgumu sio biashara, kwa sababu haupotayari kujifunza vitu vipya na mbinu mpya za Biashara zinazoendana na karne hii yenye utandawazi, wengi wanatumia mbinu zilezile za zamani katika biashara kuwahudumia wateja wa kisasa.Hapo lazima ushindwe Biashara. Usianzishe wala usifanye biashara kwa mazoea. Nitakuonesha biashara unayoweza kuifanya kwa kutumia muda wako wa ziada kwa kutumia SMARTPHONE yako ukiwa popote, na wateja watakutafuta wewe Muda utaokuwa free. Lengo ni kuwasaidia vijana waliopoteza matumaini waweze kukua kibiashara na watimize malengo.
CHANGAMKA SASAAA

Comments
Post a Comment