Posts

Showing posts from August, 2018

TETESI ZA SOKA ULAYA

Image
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 31.08.2018    Ademola Lookman (Everton) Everton ina imani itaendelea kumshikilia Ademola Lookman, licha ya klabu ya RB Leipzig, kuvutiwa na winga huyo wa England ambao wako tayari kulipa £ milioni 25 kwa mchezaji huyo mwenye miaka 20. (Liverpool Echo) Nabil Fekir(Lyon) Chelsea ilikataa nafasi ya kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Lyon na timu ya taifa ya Ufaransa Nabil Fekir, mwenye umri wa miaka 25, katika msimu wa joto. Kwa mujibu wa rais wa klabu hiyo ya Ufaransa Jean-Michel Aulas. Fekir alilengwa na timu ya Liverpool. (Mail) Eric Maxim Choupo-Moting(Stoke city). Mabingwa wa Ufaransa Paris St-Germain wanatumai kukamilisha mkataba wa mshambuliaji wa miaka 29 kutoka Stoke City na timu ya taifa ya Cameroon Eric Maxim Choupo-Moting. (Mail) Timothy Weah (PSG) Strasbourg na Lazio zinataka kumsajili mchezaji wa PSG kutoka Marekani Timothy Weah, 18, kwa mkopo. (L'Equipe) Wilfried Bony ( Swansea City) Mchezaji kutoka Ivory C

Taarifa muhimu kuhusu udahili wa vyuo vikuu.

TAARIFA MUHIMU KUHUSU TCU NA UDAHILI WA WANAFUNZI VYUO VIKUU. Mpaka mda huu saa sita mchana bado hakuna chuo kilichotoa majina rasmi. Kwahiyo kwa taarifa kuhusuhu udahili wa vyuo tembelea kwenye website za vyuo husika na sio kuokota taarifa huko mtaani. kwa taarifa kuhusuhu UDMS tembelea tovuti yao ambayo ni www.udsm.ac.tz UDOM ni www.udom.ac.tz MZUMBE www.mzumbe.ac.tz SUA www.sua.ac.tz MUHIMBILI www.muhas.ac.tz BUGANDO www.cuhas.ac.tz SAUT www.saut.ac.tz CBE www.cbe.ac.tz IFM www.ifm.ac.tz TIA www.tia.ac.tz MIPANGO www.irdp.ac.tz NIT www.nit.ac.tz Na kwa taarifa ya jumla kuhusu udahili wa chuo tembelea www.tcu.go.tz hapo ndio wataweka taarifa ya kwamba majina yametoka ya walio chaguliwa chuo then utaenda kwenye website ya chuo ulicho kua umeomba then utaangalia kama jina lako limechaguliwa. HATA HIVYO SELECTION ZITAKAPOTOLEWA NITAKUSOGEZEA HAPA HAPA KWENYE UKURASA WANGU HUU KWAHIYO ENDELEA KUKAA NAMI KWANI KILA KITU NITAKULETEA HAPA HAPA. Kama una maswa

UPDATES KESI YA NONDO

Image
Kiongozi wa mtandao wa wanafunzi Tanzania Abdul Nondo amekutwa na kesi ya kujibu kwa mashtaka mawili yanayomkabili mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Iringa. Nondo, ambaye alipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza mwezi Machi mwaka huu anakabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa ya uongo kwa ofisa wa polisi wa kituo Mafinga akidai alitekwa na watu wasiojulikana. Katika shtaka la pili, Nondo anadaiwa kutoa taarifa za uongo mtandaoni. Hakimu Liad Chamchama katika maamuzi yake leo Agosti 27 amesema kuwa baada ya kupitia ushahidi na vielelezo vilivyotolewa na upande wa Jamhuri korti imejiridhisha kuwa mtuhumiwa ana kesi ya kujibu. Mahakama imepanga Septemba 18 na 19, 2018 kuanza kusikiliza mashahidi wa upande wa utetezi. Wakili wa Nondo, Jebra Kambole ameiambia BBC kuwa hawajastushwa na uamuzi wa mahakama na wamejipanga kwa utetezi madhubuti. "Tumejitayarisha. Tuna mashahidi watano na Nondo mwenyewe atajitetea ili watu wote wajue hasa nini kilimtokea," amese

Haji Manara awatolea povu zito Wanasimba.

Image
Haji Manara awatolea povu zito Wanasimba, “Uturuki hatukwenda jifunza mpira, tulieni” Baada ya ushindi mwembamba wa simba dhidi ya Prisons Haji Manara awatolea povu zito Wanasimba, na kusema kwamba “Uturuki hatukwenda jifunza mpira, tulieni”. Mpira bwana una raha zake na mashabiki wa soka wanaufanya mpira uwe kati ya mchezo mtamu sana ulimwenguni, malalamiko pamoja na vioja vyao ndio raha ya soka. Mnyama leo alikuwa uwanjani kukipiga dhidi ya timu ya Tanzania Prisons ya jijini Mbeya na bao pekee la Meddy Kagere liliwafanya Simba kuibuka na alama zao tatu muhimu. Tangu mchezo ukiendelea kulikuwa na minong’ono ya mashabikiwa Simba uwanjani kuhusu mfumo wa kocha wao Patrick Asseums wakidai hafai na timu yao haikupaswa kupata ushindi mwembamba hivyo. Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara naye ameyasikia maneno ya mashabiki wa Simba na Manara kama kawaida yake ameshindwa kukalia kimya suala hilo na kuamua kuwajibu. “Wakati mwingine najiuliza wanadamu haswa mashabiki wa mpira wa

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO. LATEST NEWS.

Image
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 22.08.2018 Anthony Martial Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amemuomba naibu mwenyekiti mtendaji wa klabu hiyo Ed Woodward kumuuza mshambuliaji wa Ufaransa anayechezea klabu hiyo Anthony Martial, 22. (Star) Lakini Martial ameamua kwamba anataka kusalia Old Trafford na anataka kupigania nafasi yake katika kikosi cha Mourinho. (Sun) Eden Hazard Real Madrid wanatarajiwa kuwasilisha ofa yao ya mwisho ya kutaka kumnunua nyota wa Chelsea raia wa Ubelgiji Eden Hazard, 27, kabla ya dirisha kuu la kuhama wachezaji Ulaya kufungwa mwishoni mwa mwezi huu. (Mirror) Yerry Mina Barcelona wanaweza wakamnunua tena beki wa Colombia Yerry Mina kutoka Everton kwa euro 60m (£53.83m) baada ya kumuuza mchezaji huyo wa miaka 23 kwa Everton kwa euro 30.25m (£27.19m) siku ya mwisho ya kuhama wachezaji England, lakini hawawezi kutumia fursa hiyo kwenye kifungu cha mkataba wa kuhama kwake hadi mwaka 2020. (Marca) Aro Muric  Manchester City wataamua iwapo wat

Sakata la Mino Raiola na Paul scholes

Image
Wakala wa Pogba, Mino Raiola atibuana na Scholes Home Kimataifa Wakala wa Pogba, Mino Raiola atibuana na Scholes KIMATAIFA Wakala wa Pogba, Mino Raiola atibuana na Scholes By Privaldinho - August 21, 2018 5872 0 Kama kuna mawakala wahuni chini ya hili jua kwenye masuala ya soka basi Raiola ni namba moja. Jamaa anajua sana kucheza na akili za watu. Yaani ni mtoto wa mjini. Kila nikimuona nakumbuka sakata lake la kurushiana vijembe na Zlatan lakini baadae akaja kuwa wakala wake. Anajua kucheza na vyombo vya habari. Tofauti yake na Mendez, Mendez yeye ni mtu wa mambo smati. Hana kelele nyingi na mambo yake yanaenda kisomi. Ni tofauti na Mino. Mino anaweza kumchochea mchezaji ili tu aondoke. Mino ana migogoro na vilabu vingi tu kama Ac Milan na hata Juventus. Tumesikia hivi majuzi Pogba anataka kuondoka. Mbaya zaidi Paul Scholes amemjia juu Pogba hasa kwa kiwango chake. Kuna kila Ishara kuwa Mino anataka Pogba aondoke Man united. Kocha mkuu wa Zamani wa

LEO KATIKA UJASILIAMARI. FUNGUKA KIJANA.

Image
MWAJIRIWA NA KIJANA UNAEJITAMBUA JIFUNZE HAPA Vijana wengi wanapenda kujiajiri lakini linapofika swala la kuchagua biashara ya kufanya inakuwa kizungumkuti kwani Vijana wengi watakuambia mtaji hawana. Lakini sio wote ambao hawana mtaji wengine mtaji wanao lakini hawajui BIASHARA sahihi kwao kuweza kuifanya. Wengine wanatamani ufugaji,  wengine wanatamani kufungua duka,  kuna wengine wanatamani kufungua genge , kuna wengine wamefkiria kuuza nguo, wengine wanafkiria kuuza chips na kuna wengine wanafikiria kubeti. Hivi vyote biashara za kutatua changamoto ndogondogo sio biashara za kukupatia uhuru wa Kipato na usipozinduka utaishia kulipa hela ya pango ya fremu tu. Cha kustaajabisha hata wale walioajiriwa wapo njia panda hawajui biashara sahihi ya kuifanya ili waingize pesa pasipo kutegemea Ajira,  lakini tatzo kubwa linakuwa kwenye usmamizi wa biashara. Hapo waajiriwa wengi ndipo wanaposhindwa kukua kibiashara. Na kuamua kusubiria mshahara ili wautie kwenye mfuko uliotoboka. Umri

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 21.08.2018

Image
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 21.08.2018  Ivan Rakitic Paris St-Germain ina hamu ya kumsajili mchezaji wa Croatia Ivan Rakitic lakini Barcelona haiko tayari kumuuza mchezaji huyo mwenye miaka 30 ambaye kipengee cha kumuuza ni cha thamani ya Euro 125m (£112.2m). (Marca) Luka Modric Mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid Luka Modric, mwenye umri wa miaka 32, amezungumzia tuhuma kuwa amewasiliana na Inter Milan kuhusu uhamisho wake katika msimu wa joto kama "upuuzi mkubwa kihistoria". (Mirror) Oleksandr Zinchenko Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester City raia wa Ukrain Oleksandr Zinchenko, aliye na miaka 21, anatarajiwa kujiunga na timu ya Uhispania Real Betis kwa mkopo wa msimu mzima.(Sun) Ruben Loftus-Cheek Mchezaji wa kiungo cha kati wa Chelsea na England Ruben Loftus-Cheek, mwenye umri wa miaka 22, huenda akaelekea Uhispania kwa mkopo baada ya kutemwa katika kikosi cha Maurizio Sarri kitakachokabiliana na Arsenal mwishoni mwa juma

VITUKO VYA WATUMISHI WA RAIS MAGUFULI

Agizo la Rais Magufuli lamfanya Afisa ardhi kudai kodi kwenye “SEND OFF" Afisa Ardhi wa Jiji la Mwanza Halima Nassoro ameamua kutumia muda wake akiwa kwenye SEND OFF ya mmoja ya mfanyakazi mwenzake kusisitiza wageni waliohudhuria kwenye hiyo sherehe walipie kodi ya ardhi. Hiyo imekuja mara baada ya rais Magufuli kutoa agizo kuhusu ardhi.  Source: Millard ayo Endelea kutembelea ukurasa huu kwa habari motomoto Napatikana Instagram kwa jina la @pasien9 

TAARIFA MUHIMU KUHUSU TCU NA UDAHILI

Image
** TCU UPDATES ** Wanafunzio wote watakaochaguliwa chuo zaidi ya kimoja, watapokea ujumbe(SMS) wenye CODE "Comfirmation Code" kutoka TCU. CODE hiyo ni siri yako mpaka utakapoenda  nayo InternetCafe kwa ajiri ya kuthibitisha chuo utakachoenda. Na majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatoka tarehe 30/8/2018. Jiandae kuthibitisha mapema ili kujihakikishia mkopo. Gharama ya kuthibitisha ni 1000/- tu. Mtaarifu na mwengne. Endelea kutembelea ukurasa huu kupata taarifa zaidi kuhusu udahili. Instagram @pasien9

MATANGAZO YA NAFASI ZA KAZI

4 Job Vacancies at Government of Tanzania,Public Recruitment Portal On behalf of The Ocean Road Cancer Institute (ORCI), The Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), Ardhi University, The Institute of Rural Development Planning (IRDP), The Arusha Technical College (ATC), The Tanzania Public Service College (TPSC), Tanzania Airports Authority (TAA) and Bugando Medical Centre (BMC), President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified, competent, and motivated Tanzanians to fill 134 vacant posts as mentioned below; Job Vacancies details and Mode of Application GENERAL CONDITIONS i. All applicants must be Citizens of Tanzania of not more than 45 years of age except for those who are in public service; ii. Applicants must attach an up-to-date Curriculum Vitae (CV) having reliable contacts; postal address/post code, e-mail and telephone numbers; iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement; iv. Applica
Image
Tetesi za Soka Ulaya  Alhamisi 16.08.2018: Kiungo wa kati mshambuliaji wa Manchester City Kevin de Bruyne kutoka Ubelgiji mwenye miaka 27 anatarajiwa kutocheza kwa miezi mitatu baada ya kuumia kwenye kano za goti la kulia. (Mirror) Baadhi wanatarajiwa De Bruyne hataweza kucheza kwa miezi miwili hadi minne kutokana na jeraha hilo lake la goti. (Telegraph) Kevin De Bruyne aumia akifanya mazoezi Meneja wa Manchester United Jose Mourinho alimwambia Paul Pogba anafaa kuwasilisha ombi la kutaka kuondoka iwapo hataki kusalia katika klabu hiyo. Mfaransa huyo mwenye miaka 25 naye amemjibu Mreno huyo kwa kumwambia kwamba atawasiliana naye kupitia kwa wakala wake pekee. (Sun) Bayern Munich wanamnyatia beki wa Tottenham mwenye miaka 29 anayetokea Ubelgiji Toby Alderweireld. (Mirror) Kipa wa Arsenal mwenye miaka 29 kutoka Colombia David Ospina amejiunga na Napoli kwa mkopo. (Guardian) Parma wanakaribia kumnunua mshambuliaji wa Ivory Coast mwenye miaka 31 Gervinho kutoka klabu ya Heb

UTANI KIDOGO

Image
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje? ... Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje?? ... Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya Uvuguvugu Kisha Unajifuta Na Tissue Halafu Unakula Chakula Kwa Kutumia Kijiko Mwanzo Mwisho, Uliosha Ili Iweje? .. Hutaki Kusuuza Kikombe Kwa Maji Ya Bafuni Ukiamin Ni Uchafu Wakati Maji Hayo Hayo Unatumia Kupigia Mswaki, Nina Mashaka Na Wewe! .. Unanawa Bila Sabuni Unapotaka Kula Halafu Unakuja Kunawa Na Sabuni Baada Ya Kula, Kwani Ulikuwa Unakula Mavi?? ... Anakata Mti Anategemea Karatasi Halafu Juu Ya Karatasi Anaandika "USIKATE MTI" .. Unampa Mimba Binti Wa Watu Akikuambia Anamimba Yako Unamuuliza..Iliingiaje?? Hebu Kuwa Serious Bwana. ENDELEA KUTEMBELEA UKURASA WANGU KWA STORY MOTOMOTO Instagram nafahamika kama @Pasien9

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.08.2018:

Image
Pata habari kumhusu Zidane, Pogba, Messi, Godin, Rose, Herrera, Cattermole, Odegaard, Grujic   Kocha wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane anataka kurudi katika kazi yake ya ukufunzi na anajiandaa kumrithi Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United msimu ujao. (L'Equipe - in French) Kocha wa Barcelona Ariedo Braida anasema klabu yake haiwezi kutoa ofa kwa Paul Pogba wa Manchester United msimu huu, lakini amemtaja mchezaji huyo Mfaransa mwenye miaka 25 kama mchezaji mzuri na atakuwa anamfuatilia Mfaransa huyo. (Mirror)  Klabu ya Bundesliga ya Schalke wana mpango wa kutoa mikataba ya kudumu na hawana nia ya kuwasaini beki wa Tottenham raia wa England Danny Rose, 28, au kiungo wa kati wa England Ruben Loftus-Cheek, 22, kwa mkopo. (Sky Sports) Meneja mpya wa Chelsea Maurizio Sarri amelegeza sheria kali kuhusu lishe na ratiba za mechi zilizowekwa na mtangulizi wake Antonio Conte. (Telegraph) Sarri yuko radhi kiungo wa kati wa Chelsea mwenye miaka 28 Da

KASUMBA YA KUHAMA VYAMA VYA SIASA NCHINI

Image
Nini kinachowafanya wanasiasa kuhama vyama? Miaka ya nyuma mwanasiasa akihama katika chama chake ilikuwa ni jambo zito sana, lakini kwasasa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vimegubikwa na taarifa za wanasiasa wanaohama vyama vyao mara kwa mara. Wapinzani wazidi kukimbilia chama tawala. Je, CCM ndio kimbilio la wapinzani. Kwa takribani mwaka sasa viongozi wa ngazi mbali mbali katika vyama vya upinzani wamehamia CCM. Kwa zaidi ya wiki moja mfululizo wanasiasa ikiwemo wabunge na madiwani kutoka chama cha CUF na Chadema wametangaza kujiengua katika vyama vyao ikiwemo kujiuzulu nafasi zao za uongozi. Naibu meya wa manispaa ya ilala, na diwani wa vingunguti Omari kumbilamoto amejiuzulu nafasi ya udiwani na umeya lakini pia amejivua uanachama wa CUF. Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga Laizer amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Kabla ya

Marekani yaonyesha wasiwasi wake kuhusu uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la Buyungu mnamo tarehe 12 mwezi Agosti

Image
 Marekani yaonyesha wasiwasi wake kuhusu uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la Buyungu mnamo tarehe 12 mwezi Agosti Taarifa iliotolewa na ubalozi wa Marekani mjini Dar es Salaam inasema kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na ghasia na makosa, ikiwemo visa ambapo tume ya uchaguzi nchini humo ilikataa kusajili wagombea wa upinzani. Ubalozi huo pia ulikuwa na wasiwasi kuhusu vitisho vilivyofanywa na maafisa wa polisi dhidi ya wanachama wa upinzani, kukamatwa kiholela, na ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo. ''Maswala hayo yanahujumu haki ambayo katiba ya Tanzania inawapatia raia wake na kuhatarisha amani na utulivu nchini na katika eneo zima'', ilisema taarifa hiyo. Mnamo tarehe 12 mwezi Agosti Tanzania ilifanya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Buyungu, jimbo la Kigoma na wadi 36 nchini humo. Uchaguzi wa Buyungu ulifanyika ili kujaza kiti cha marehemu Kasuku Bilago kutoka chama cha Chadema aliyefariki mnamo mwezi Mei mwaka huu.

Habari njema kwa wasomi

Image
Scholarship Opportunities at Muhimbili University of Health and Allied Sciences       August 15, 2018   MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS) DIRECTORATE OF POSTGRADUATE STUDIES ADVERTISEMENT FOR APPLICATION TO MASTER OF SCIENCE IN EPIDEMIOLOGY AT BOSTON UNIVERSITY SCHOOL OF PUBLIC HEALTH, 2019-2021 1. Background  The Dartmouth-Boston University-Muhimbili (DBM) Fogarty HIV training program is building on prior Fogarty-supported capacity building activities to train research faculty to conduct HIV and HIV/TB epidemiologic research and clinical trials at the newly established Infectious Disease Institute (IDI) at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS). A major goal is to mentor and support junior faculty to become successful in performing research and in obtaining independent funding as part of IDI’s research training program while also expanding MUHAS’ portfolio of funded HIV and HIV/TB research. These faculty will help