Lifahamu kabila hili la ajabu.

WAHIQYUKA. 
UTAMADUNI WAO..!!
Nchini Jamaika Kuna Kabila La Wahiqyuka Ambalo Wao Mila Na Destuli Zinaheshimika Kuliko Vitu Vingine. Moja Ya Mila Hizo Ni Mwanamke Kuhakikisha Analinda Bikra Yake Mpaka Siku Ya Kuolewa. 
       Iwapo Mwanamke Amefikia Umri Wa Kuolewa Na Mchumba Amepatikana Basi Mashangazi Huenda Kuikagua Bikra Yake Kama Bado IPO Salama.
       Ikibainika Bikra Haipo Basi Sheria Zao Mwanamke Anatakiwa Apigwe Hadharani Fimbo 24 Mgongoni Siku Ya SEND OFF Yake Ya Kijadi Na Pia Atatakiwa Apigwe Fimbo 12 Mgongoni Siku Ya Harusi Yake Ili Kuonyesha Heshima Ya Kuomba Radhi Kwa Mumewe Huyo Anayemuoa Kwa Ndoa Na Ataolewa Bure Bila Mahali.



JIULIZE INGEKUWAJE HUU UTAMADUNI UNGEKUWA KWETU.

Comments

Popular posts from this blog

COMBAT THEFT; How can I track a phone through its IMEI number?

6 Home Businesses You Can Start With No Money

FAHAMU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA.